RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA HOIMA UGANDA MPAKA BANDARI YA TANGA

Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake, Rais wa
Uganda Yoweri Museveni wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la
mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga huku
viongozi mbalimbali wa Tanzania na Uganda wakishuhudia. Shughuli hiyo
ilifanyika katika kijiji cha Chongoleani nje kidogo ya jiji la Tanga.

Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa pongezi na
mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya uwekaji wa jiwe la
msingi la mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga
huku Viongozi mbalimbali wa Tanzania na Uganda wakishuhudia. Shughuli hiyo
ilifanyika katika kijiji cha Chongoleani nje kidogo ya jiji la Tanga
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Uganda Yoweri
Museveni wakiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari mbalimbali
waliohudhuria shughuli ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi mkubwa wa bomba la
mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga katika kijiji cha Chongoleani nje
kidogo ya jiji la Tanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari mbalimbali waliohudhuria shughuli ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga katika kijiji cha Chongoleani nje kidogo ya jiji la Tanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika uwanja wa ndege wa Tanga mara baada ya kuweka jiwe la msingi mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga katika kijiji cha Chongoleani nje kidogo ya jiji la Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono pamoja na mke wake Mama Janeth Magufuli, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wakiagana na Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika uwanja wa ndege wa Tanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza ngoma ya msanja na Mama Janeth Magufuli pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kumsindikiza Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika uwanja wa ndege wa Tanga.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika viwanja vya
Chongoleani kabla ya tukio la uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa
bomba la mafuta.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakati wakielekea kuweka jiwe hilo la msingi.

Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika sherehe hizo za uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa bomba la mafuta.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa
Uganda Yoweri Museveni wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii mbalimbali mara
baada ya kutumbuiza.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni akihutubia katika viwanja vya Chongoleani nje kidogo ya jiji la Tanga. PICHA NA IKULU




No comments