RAIS DKT MAGUFULI AMWANDALIA RAIS MUSEVENI WA UGANDA DHIFA YA KITAIFA JIJINI TANGA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wakati wa dhifa ya kitaifa
aliyomwandalia Ikulu ndogo jijini Tanga. Pamoja nao meza kuu ni Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na
Mama Janeth Magufuli. Hii ikiwa ni bado masaa machache kabla ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi
wa mradi mkubwa wa usafirishaji wa
Mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda mpaka katika bandari ya Tanga.
Sehemu
ya mawaziri na manaibu waziri wa Tanzania na Uganda wakiwa wamesimama
wakati wa nyimbo za Taifa za nchi hizo mbili na wa Afrika Mashariki
kwenye dhifa ya Taifa aliyoandaa Rais Dkt. Magufuli kwa heshima ya mgeni
wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda Ikulu ndogo jijini Tanga
Ijumaa usiku
Sehemu ya wageni waalikwa wa mataifa mbalimbali wakiwa wamesimama wakati
wa nyimbo za Taifa za nchi hizo mbili na wa Afrika Mashariki kwenye
dhifa ya Taifa aliyoandaa Rais Dkt. Magufuli kwa heshima ya mgeni wake
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda Ikulu ndogo jijini Tanga Ijumaa
usiku
Wakuu wa Mikoa wakiwa wamesimama wakati wa nyimbo za Taifa za nchi hizo
mbili na wa Afrika Mashariki kwenye dhifa ya Taifa aliyoandaa Rais Dkt.
Magufuli kwa heshima ya mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda
Ikulu ndogo jijini Tanga Ijumaa usiku
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wakiongea kwenye dhifa ya
kitaifa aliyomwandalia Ikulu ndogo jijini Tanga. Pamoja nao meza kuu ni
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim
Majaliwa na Mama Janeth Magufuli.
Baadhi
ya wasanii wa Kizazi kipywa wakiwa kwenye dhifa ya Taifa aliyoandaa
Rais Dkt. Magufuli kwa heshima ya mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni
wa Uganda Ikulu ndogo jijini Tanga Ijumaa usiku
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
jambo na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni baada ya dhifa ya
kitaifa aliyomwandalia Ikulu ndogo jijini Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimtambulisha Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu kwa mgeni wake Rais
Yoweri Kaguta Museveni baada ya kumalizika kwa dhifa ya kitaifa
aliyomwandalia Ikulu ndogo jijini Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimtambulisha Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana kwa mgeni
wake Rais Yoweri Kaguta Museveni baada ya kumalizika kwa dhifa ya
kitaifa aliyomwandalia Ikulu ndogo jijini Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimtambulisha Waziri wa Ardhi Mhe. William Lukuvi kwa mgeni wake Rais
Yoweri Kaguta Museveni baada ya kumalizika kwa dhifa ya kitaifa
aliyomwandalia Ikulu ndogo jijini Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni
wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wakiagwa kwa saluti na Wakuu wa vyombo
vya ulinzi na usalama baada ya kumalizika kwa dhifa ya kitaifa
aliyomwandalia Ikulu ndogo jijini Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitakiana
usiku mwema na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni baada ya dhifa ya
kitaifa aliyomwandalia Ikulu ndogo jijini Tanga. Pamoja nao ni Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na
Mama Janeth Magufuli. Picha na IKULU
No comments