WENGI WAJITOKEZA KWENYE MSIBA WA MPOKI BUKUKU TABATA
Mhariri
Mtendaji wa gazeti la Mtanzania, Absalom Kibanda akimfariji mjane wa
marehemu Mpoki Bukuku, Lilian nyumbani kwa marehemu, Tabata Bwawani, Dar
es Salaam. Bukuku alifariki juzi baada ya kugongwa na gari Barabara ya
Bagamoyo karibu na Kituo cha ITV, Mwenge. PICHA NA RICHARD
MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Kibanda akimfariji mama mzazi wa marehemu Mpoki Bukuku
Kiongozi
wa Chama cha ACT, Zitto Kabwe (kulia) akizungumza jambo na Shemeji wa
marehemu Mpoki Bukuku, Edwin Mjwahuzi alipokwenda kuwafariji wafiwa
nyumbani kwa marehemu, Tabata Bwawani.
Zitto Kabwe (kulia) akizungumza na kaka wa Marehemu Mpoki, Gwamaka Bukuku wakati wa msiba huo
Waandishi
wa habari wakiwa kwenye msiba wa marehemu Mpoki Bukuku ambaye alikuwa
Mpigapicha mwandamizi wa magazeti ya Kampuni ya The Guardian
Wanahabari wakijadiliana mambo wakati wa msiba huo
Mmmiliki
wa Blogu hii, Kamanda Richard Mwaikenda, ambaye pia ni Mpigapicha Mkuu
wa gazeti la Jambo Lelo, Kamanda Richard Mwaikenda (kulia) akiwa na
wanahabari wenzie kwenye msiba huo.Kutoka kushoto ni Mpigapicha wa
Waziri Mkuu, Hilary Bujiku, Mmiliki wa Blog ya K-VIS, Khalfan Said,
Mmiliki wa Blog ya Michuzi, ambaye pia ni Mpiga Piacha na Mwandishi wa
Habari Msaidizi wa Rais, Muhidini Issa Michuzi, Mpigapicha Mkuu wa
Gazeti la Mwananchi, ambaye ni shemeji wa marehemu Mpoki, Edwin Mjwahuzi
na Francis Chirwa ambaye ni mmoja wa viongozi wa Bodi ya Wahariri wa
Gazeti la Raia Mwema. ,
Waombolezaji wakiwa kwenye msiba
Jirani rafiki wa karibu wa marehemu, Mpoki, maarufu kwa jina la Mijisu akilia wakati wa msiba
Today Deal $50 Off :
https://goo.gl/efW8Ef Today Deal $50 Off : https://goo.gl/efW8Ef Today
Deal $50 Off : https://goo.gl/efW8Ef Today Deal $50 Off :

Deal $50 Off : https://goo.gl/efW8Ef
Today Deal $50 Off : https://goo.gl/efW8Ef

KINISA LA KKKT KIVULE DAR WAMPIGIA SALUTI YESU KRISTO IBADA YA KRISMASI
Wanakwaya wa Vijana ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)
Mtaa wa Kivule, wakimpigia saluti Yesu Kristo walipokuwa wakiimba wimbo
wa kumsifu Yesu wakati wa Ibada ya Krismasi.
Mchungaji wa Kanisa la KKKT Mtaa wa Kivule, Dar es Salaam, Michael
Mgaya akitoa mahubiri wakati wa Ibada ya Kuzaliwa Yesu Kristo ya
Krismasi asubuhi
Waumini wakiomba wakati wa ibada hiyo
Waumini wakimwimbia Yesu Kristo
Waumini wakiimba wimbo wa kumsifu Yesu Kristo
Mwandishi wa Habari wa Kujitegemea, Spear Patrick (kushoto) na mkewe
wakishiriki kuimba wimbo wa kuzaliwa Yesu Kristo
Lusekelo Mwaikenda (kushoto) ambaye ni Mtoto wa mmiliki wa Blog hii,
Richard Mwaikenda akiwa miongoni mwa waumini akishiriki kuimba wimbo
wakati wa Ibada ya Krismasi
Waumini wakiomba
Mwinjilisti Michael Mgaya (wa pili kushoto) akitoa neno alipokuwa
akihitimisha Ibada ya Krismasi
Waumini wakiondoka baada ya Ibada ya Krismasi kumalizika
Mpigapicha wa kupitegemea, Spear Patrick akipiga picha na familia yake
pamoja na familia ya mmiliki wa blog hii, Richard Mwaikenda baada ya
kumalizika kwa Ibada ya Krismasi

No comments