LEMA ARUDISHWA RUMANDE KWA MARA NYINGINE


Gari la Magereza likiwa limewasili mahakamani likiwa na mahabusu wengine pamoja na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema.Picha zote na habari na Vero Ignatus Blog.
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema akiwasili mahakamani leo kama anavyoonerkana pichani akiwa na mahabusu wengine .Picha zote na habari na Vero Ignatus  Blog.
Baadhi ya wananchi wa Arusha wakiwa njen ya mahakama leo Jijini Arusha .Picha zote na habari na Vero Ignatus  Blog.

Baadhi ya wafuasi wa chama cha Demokrasia na maendeleo( chadema)wakiwa nje ya uzio wa mahakama leo mkoani Arusha .Picha zote na habari na Vero Ignatus Blog
 
 Wafuasi wa chadema wakimpungia mkono mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema baada ya kutoka mahakamani kurudi mahabusu leo.Picha zote na habari na Vero Ignatus Blog
 

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema akiagana na mkewe na wakili wake ndani ya mahakama kabla ya kurudishwa mahabusu leo.  Picha zote na habari na Vero Ignatus Blog

 Mbunge wa Arusha mjini Godbless amerudishwa mahabusu imeweka pingamizi la maombi ya kuongezewa muda wa kukata rufaa  , baada ya upande wa jamhuri kuweka mapingamizi mawili
 
 Uamuzi huo  lilitakiwa ulitarajiwa kutolewa na jaji Modesta Opiyo baada ya kupokea kupokea hoja za pingamizi la maombi hayao zilizotolewa na mawakili waandamizi wa Jamhurikatika shauri hilo la Lema,

Wakili upande wa Jamhuri Matheneus Marandu ameiambia mahakama kuwa maombi yaliyoletwa mahakamani hapo kutoka upande wa mshtakiwa  hayajakidhi matakwa ya kisheria hivyo ameiomba mahakama kutupilia mbali maombi hayo.


Mbunge Lema amerudishwa rumande hadi desemba 16 mwaka huu baada ya Jaji anayesikiliza kesi hiyo amesema atatoa uamuzi juu ya pingamizi hilo la jamhuri disemba 16 mwaka huu.


 

No comments