Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikali na
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro uliopo kwenye ukumbi wa
halmashauri hiyo iliyopo Wasso Desemba 15, 2016. Kushoto ni Mkuu wa
Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)1A7872,
1a7873, Baadhi ya watumishi wa serikali na halmashauri ya wilaya
ya Ngorongoro wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye
ukumbi wa halmashauri hiyo uliopo Wasso wilayani Ngorongoro Desemba 15,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAKALA WA VIPIMO WADHAMIRIA KUTOKOMEZA LUMBESA
-
*Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Vipimo (WMA)
wakiimba wimbo wa ‘Mshikamano Daima’ kabla ya kuanza kikao cha 37 cha
Baraza hilo, k...
No comments