HABARI PICHA-MWANDISHI WA HABARI WA ITV NA REDIO ONE AKITOKA KATIKA KITUO CHA POLISI BAADA YA KUPEWA DHAMANA

Displaying IMG_0181.JPGMwandishi wa Habari wa ITV na Redio One Khalfan Liundi (Mwenye shati jeupe)  akitoka katika kituo cha Polisi cha Usariver Mara baada ya kupata dhamana,alikamatwa kufuatia amri ya Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Alexender Mnyiti kwa kutuhumiwa kuandika habari za uchochezi
 Displaying IMG_0182.JPGDisplaying IMG_0185.JPG

No comments