RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU MAJALIWA IKULU JIJINI DAR LEO
Rais
John Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Ikulu
jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais John Magufuli akiteta na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Ikulu jijini Dar es salaam, Desemba 23, 2016.
Rais
John Magufuli akizungumza na mtoto Doreen Ndika ambaye aliambatana na
baba yake, Jaji Dkt. Gerald Ndika ambaye aliyeapishwa na Rais `Ikulu
jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016 kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani
Tanzania. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments