Asema alilazimishwa kukiri kumuua Kim Jong nam na Malaysia
Mtu mmoja
anayeshukiwa kuhusika na mauji ya ndugu wa kambo wa kiongozi wa Korea
Kaskazini Kim Jong Un, amesema kuwa yeye ni mhanga wa hujuma za utawala
wa Malaysia dhidi ya Korea Kaskazini.
Hapo jana Ijumaa maafisa nchini Malaysia walisema, wana ushahidi wa kutosha, kumfungulia mashtaka Bw. Ri, na kwamba atarejeshwa kwao kwa kosa la kukiuka sheria ya uhamiaji ya nchi hiyo.
Chanzo bbc
No comments