Mkuu wa wilaya ya Arusha mjini Gabriel Daqqaroamefungua kikao cha Maafisa watendaji wa Kata,pamoja na wenyeviti wa Mitaa

  Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqarro(Pili Kuhsoto) akifungua kikao kazi na Maafisa Watendaji wa Kata, Mitaa pamoja na Wenyeviti wa Mitaa
Wakuu wa Idara, maafisa watendaji wa Kata, Mitaa pamoja na wenyeviti wa Mitaa 154 ya Jiji la Arusha wakifuatilia kikao kazi kilichoitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha.
 
 Afisa Mtendaji Kata ya Baraa Bi. Anna Lebisa akiwasilisha changamoto mbalimbali zilizoko katika kata yake.
  Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqarro (Pili kushoto) akitolea ufafanuzi wa  hoja mbalimbali zilizowasilishwa na wajumbe wa Kikao Kazi.

Wakuu wa Idara, maafisa watendaji wa Kata, Mitaa pamoja na wenyeviti wa Mitaa 154 ya Jiji la Arusha wakifuatilia kikao kazi kilichoitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha.
 
Afisa Mtendaji Kata ya Ngarenaro Bw. Joshua Nasari (aliyesimama) akichangia katika Kikao Kazi kilichoitishwa na Mkuu wa Wilaya

Conversation opened. 1 read message

  Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqarro(Pili Kuhsoto) akifungua kikao kazi na Maafisa Watendaji wa Kata, Mitaa pamoja na Wenyeviti wa Mitaa.
Wakuu wa Idara, maafisa watendaji wa Kata, Mitaa pamoja na wenyeviti wa Mitaa 154 ya Jiji la Arusha wakifuatilia kikao kazi kilichoitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha.

 Afisa Mtendaji Kata ya Baraa Bi. Anna Lebisa akiwasilisha changamoto mbalimbali zilizoko katika kata yake.

.
 
Zoom out

No comments