UBALOZI WA MAREKANI - TANZANIA WATOA MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI KWA WANAMITANDAO
Mkufunzi wa Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Mitandao (Multmedia Journalisim) Bi. Ricci Shryock kutoka nchini Senegal akizungumza na wamiliki wa mitandao ya Kijamii katika mafunzao yaliyoandaliwa na Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania
Mafunzo hayo yaliwashirikisha wamiliki wa mitandao ya kijamii( Bloggers)kutoka katika mikoa mbalimbali nchini ambapo yalifadhiliwa naUbalozi wa Marekani Jijini Dar es salaam .
Mafunzo hayo ya siku mmoja yalikuwa na lengo la kutoka elimu Kwa waandishi wa habari za mitandaoni namna ya kuandaa habari zake kwa usahihi,namna ya kupambana na changamoto mbalimbali wanazokutana nanzo katika utendaji kazi Pamoja na usahihi katika upigaji picha za matukio.
Ricci Shryock amesema kuwa habari Kwa njia za mitandao ya kijamii huwa zinasambaa Kwa haraka zaidi na Kwa muda mfupi hivyo ni vyema kuwa makini zaidi wakati wa kiziandaa na kuzihakiki.
Baadhi ya washiriki wakifurahia jambo kutoka kwa mkufunzo huyo wakati wa mafunzo hayo.
Washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia mada zilizotolewa.
Mwandishi wa Habari Mpigapicha/blogger Cathbert Kajuna mmiliki wa Kajunason Blog akipokea cheti kutoka kwa Mkufunzi wa Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Mitandao (Multmedia Journalisim) Bi. Ricci Shryock kutoka nchini Senegal mara baada ya kumaliza mafunzo.
Blogger John Kitime akifurahia cheti.
Blogger Maduhu.
Blogger Masama.
Blogger Geofrey wa Pamoja Blog.
Blogger Zainul Mzige.
Blogger Audiface.
Blogger Mbega.
Blogger Paul.
Blogger Josephat Lukaza wa Lukazablog akipokea cheti chake.
Blogger John Bukuku mmiliki wa Fullshangwe Blog.
Mwanablog Shamim Mwasha wa 8020fashion akipokea cheti chake.
Mwanablog Freddy Njeje wa Blog za Mikoani akipokea cheti chake.
Mmiliki ,mwandishi wa habari na mpiga picha wa Vero Igantus Blog kutoka mkoani Arusha akipokea cheti chake baada ya mafunzo.
Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabloga Tanzania Bloggers Network Krantz Mwantepele ambaye pia alikuwa mratibu wa mafunzo hayo akipokea cheti chake.
Missi Populer akipokea cheti chake mara baada ya mafunzo hayo.
Maofisa wa Ubalozi wa Marekani pamoja na Mkufunzi huyo wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo hayo. (PICHA KWA HISANI YA UBALOZI WA









No comments