Rais Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri ambacho kimefanyika kwenye ukumbi wa mikutano katika Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma.

No comments