MKUTANO WA CHAMA CHA WANASHERIA WAFANYIKA JIJINI ARUSHA
Na,Vero Ignatus, Arusha
Chama cha wanasheria Tanganyika wamefanya mkutano Jijini
Arusha leo kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika
kesho ambapo mkutano huo unafanyika katika kituo cha Kimataifa cha
(AICC) ukumbi wa Simba

Mkutano huo umehudhuriwa na washiriki wa 3000 ambapo mkutano huo
utamalizika kesho baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa kumpata rais wa
chama hicho ,makamu wa rais muweka hazina,na wajumbe wa baraza uongozi
pamoja na wawakilishi wa matawi wa kanda mbalimbali.

Rais anayemaliza muda wake John Sekka ,amewataja wagombea hao ni
pamoja na Victoria Mandari,Tundu Lissu,Fransis Stolla,Lawrence
Masha,na Godwin Mwapongo wote hawa wanagombea nafasi ya urais wa( TLS)

Kwa mujibu wa sheria ya chama cha mawakili Tanganyika kiongozi
anatakiwa kukaa kwenye uongozi ndani ya mwaka mmoja tu ndipo uchaguzi
unafanyika tena,sambamba na hayo watachaguliwa pia viongozi mbalimbali
wa kusimamia Arusha,Moshi,Mwanza,Tanga,iringa,mtwara,Dodoma,Tabora,Dar
es salaam na mbeya.

Kwa upande wake wakili wa kujitegemea Dr.Eva Hawa Sanare amesema kuwa
chama cha sheria kikishe kinapigania utawala wa sheria huku akisema
kuwa ,pia waingie kwenye utafiti wa sheria pale
inapopindishwa,waisaidie serikali kutunga sheria , wakijua kuwa kila
mtu yupo chini ya utawala wa saheria.

Dr.Sanare amewataka amewataka mawakili wajiendeleze ilikusimamia haki
na kuwasaidia wanyonge wasiojiweza ili waweze kupata haki zao amesema
85%ni watu wasio na uwezo hivyo hawana uwezo wa kuwa na mawakili .

Amesisitiza kuwa wanasheria wanamajukumu ya kuisaidia jamii bila
wanasheria kufanya kazi yake hakuna jamii.

N:B Rais anayemaliza muda wake amesema kuwa kila mara walikuwa wakifanya mkutano wamekuwa na mgeni rasmi lakini mkutano huu hawakuwa na mgeni rasmi lengo likiwa ni kujitathmini wao wenyewe kama chama cha wanasheria Tanganyika.

No comments