Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Amtembelea Mzee Malecela Nyumbani Kwake Dodoma leo.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu,Mzee John
Malecela wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kilimani mjini Dodoma
Februari 1, 2017.
Waziri Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mzee Malecela akizungumza na Waziri Mkuu
wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa alipofika nyumbani kwa Mzee Malecela
kumtembelea na kumjulia hai leo mjini Dodomo nyumbani kwake kilimani.
Mzee Malecela akifurahia jambo na Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim
Majaliwa alipofika nyumbani kwake kilimani mjini dodoma kumtembelea leo.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela
wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kilimani mjini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiagana na Mzee John
Malecela baada ya mazungumzo na kumjulia hali nyumbani kwake kilimani
Dodoma leo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




No comments