AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WAPYA WA JWTZ IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akiweka saini katika hati ya Kamisheni muda mfupi kabla
ya Kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi la Tanzania
na kadhaa kutoka nchi marafiki katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es
salaam Jumamosi Februari 18, 2017
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiweka saini katika
hati ya Kamisheni muda mfupi kabla ya Kutunuku Kamisheni kwa Maafisa
wapya wa Jeshi la Ulinzi la Tanzania na kadhaa kutoka nchi marafiki
katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Jumamosi Februari 18, 2017
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akiwasili Kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa Jeshi
la Ulinzi la Tanzania na kadhaa kutoka nchi marafiki katika viwanja vya
Ikulu jijini Dar es salaam Jumamosi Februari 18, 2017.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akikagua gwaride wakati wa sherehe za Kutunuku Kamisheni
kwa Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi la Tanzania na kadhaa kutoka nchi
marafiki katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Jumamosi Februari
18, 2017.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli akitunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi
la Tanzania na kadhaa kutoka nchi marafiki katika viwanja vya Ikulu
jijini Dar es salaam Jumamosi Februari 18, 2017.
Kikundi cha ngoma cha JWTZ kikitumbuiza kwa ngoma ya Chaso ya Pemba
wakati Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli alipotunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa Jeshi la
Ulinzi la Tanzania na kadhaa kutoka nchi marafiki katika viwanja vya
Ikulu jijini Dar es salaam Jumamosi Februari 18, 2017.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli, Makamu wa rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe
Kassim Majaliwa, Waziri wa ulinzi nja Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein
Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Juma Kijazi na viongozi wengine
katika picha ya pamoja baada ya Kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa
Jeshi la Ulinzi la Tanzania na kadhaa kutoka nchi marafiki katika
viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Jumamosi Februari 18, 2017.
PICHA NA IKULU







No comments