MISSY T'S VALENTINE PARTY USIPIME
Missy T na baba mwenye nyumba wake wakilishana keki kwa staili yao
siku ya Jumamosi Feb 18, 2017 siku Missy T alipofanya Valentine party na
kuwaalika rafiki zake kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Silver Spring,
Maryland ikiwa kila mtu na couple wake huku huku wakiwa wamechukua
vyumba hapo na baadae asubuhi kuendelea na kifungua kinywa hotelini
hapo.
Msanii wa Bongo Flava Malaika nae akijumuika kwenye Missy T's Valentine Party.
Benson na mama mwenye nyumba wake wakilishana keki.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Kwa mapicha kibao baadae.
No comments