KINANA AZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Waziri Mkuu Majaliwa
Kassim Majaliwa, alipowasili katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Februari 18, 2017, kwa ajili ya
mazungumzo baina yao
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na Waziri Mkuu Majaliwa
Kassim Majaliwa, alipowasili katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Februari 18, 2017, kwa ajili ya
mazungumzo baina yao
Wakienda eneo la kufanyia mazungumzo
Wakiwasili eneo la mazungumzo Ofisini kwa Katibu Mkuu wa CCM.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akizungumza na Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Feb 18, 2017.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsindikiza mgeni wake,
Waziri Makuu Majaliwa Kassim Majaliwa aliyekwa akiondoka baada ya
mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsindikiza mgeni wake,
Waziri Makuu Majaliwa Kassim Majaliwa aliyekwa akiondoka baada ya
mazungumzo yao.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimuaga mgeni wake, Waziri
Makuu Majaliwa Kassim Majaliwa aliyekwa akiondoka baada ya mazungumzo
yao.
Waziri Mkuu akienda kupanda gari lake tayari kuondoka kwenye Ofisi
Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, baada ya mazungumzo na Kinana
(kulia)
Gari la Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa likiondoka Ofisi Ndogo
ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba. (Picha zote na Bashir Nkoromo

No comments