TIGO Marathon Mtanzania Ang'ara, Huku Wakenya wakiendelea kutesa Marathon
Wa kwanza kushosto ni Katibu mkuu wa wizara ya habari ,utamaduni sanaa na michezo ,Profesa Elisante Ole Gabriel ,akiwa jukwaa kuu na mkuu wa moa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick wakifuatilia mbio zilizokuwa zinaendelea katika uwanja wa Ushirika Picha na Vero Ignatus Blog
Mratibu wa Kili Marathon Agrey Mariale akiweka mambo sawa uwanjani hapo .Picha na Vero Ignatus blogMshindi wa kwanza wa nusu Marathon kilometa 21 raia wa Tanzania Emmanuel Giniki aliyeweka tishet ya bluu begani na maji mkononi
Emmanuel Giniki akihojiwa na wandishi wa habari baada ya ushindi wake wa nusu Marathon akiwa na namba 4446 na alikimbia saa 1:03:49 .Picha na Vero Ignatus Blog

Mshindi wa kwanza mwanamke katika mbio za kilometa 21 Grace Kimanzi kutoka nchini Kenya akiwa na namba 5874 akimalizia mbio hizo na kuibuka mshindi ambapo alikimbia kwa muda wa 01:143:06.Picha na Vero Igatus Blog.
Mshindi wa kwanza wa mbio za kilometa 42.2 Moses Hengitti kutoka nchini Kenya akiwa na namba 207ambaye alikimbia kwa muda wa saa 2:16:42.Picha na Vero Ignatus Blog
Mshindi wa pili mwanamke wa mbio za kilometa 42 Marathon Shemith Nyawira Muriuk kutoka Kenya mwenye namba 549 ambaye alikimbia kwa saa 2:43:42. Picha na Vero Ignatus Blog
![]() | ||||
|
Babuuuu!! Joram Zakaria Mollel( 90)nae alishiriki kama kawaida yake miaka yote .Picha na Vero Ignatus Blog
| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadick akimpongeza mzee Joram Zakaria Molell (90)ambaye alishiriki mbio za kilometa 21 Kili Marathon iliyofanyika Moshi Kilimanjaro Picha na Vero Iganatus Blog |
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya kaskazini George Lugata akitoa neno la shukranikwa washiriki wa Kili Marathon,pamoja na wananchi waliotoka katika mikoa tofauti pamoja na nchi mbalimbali Afrika na nchi za Ulaya walioshiriki mbio hizo.Picha na Vero Ignatus blog
Baadhi ya washiriki wa Kili Marathon wakielekea eneo la kuanzia mbio .PICHA NA VERO iGNATUS bLOG
|
![]() |
| Mbio zikiedelea kwa kasi hadi apatikane mshindi .Picha na Vero Ignatus Blog |
|
Mambo ndivyo yalivyokuwa yakiendelea katika kilimarathon .Picha na Vero Ignatus BLOG |

Baadhi ya washiriki akiwemo Ramson Walter wakifurahia baada ya kumaliza mbio za kilometa 21 hapa mwenye namba 4375
![]() |
Na,Vero Ignatus .Kilimanjaro
Mbio
za Kili marathon zimefanyika jana manispaa ya Moshi mjini mkoani
kilimanjaro katika viwanja vya chuo cha ushirika ambapo wakimbiaji zaidi
ya 8000 wameshiriki mbio hizo
Mbio hizo
zimefunguliwa rasmi na Katibu mkuu wa wizara ya habari utamaduni sanaa
na michezo Elisante Ole Gabriel ya saa kumi na mbili nusu ambapo mbio
za kilometa 42 zilianza, huku wale kilometa 21 wakianza mbio hizo majira
ya saa moja kamili asubuhi
Mbio hizo
ziligawanyika katika makundi tofautitotauti kuna wale waliokimbia
kilometa 42,km 21 km 10 ambazo zilishirikisha walemavu pamoja na zile za
kilometa 5 ambapo kila kundi walipatikana washindi wa mbio hizo.
Mshindi
wa mbio za kilometa 21 ni raia wa Tanzania Emmanuel Giniki akifuatiwa
na mshindi wa pili George Waiyaki kutoka Kenya,Alexander Muyao kutoka
kutoka kenya,washindi kwa upande wa wanawake kilometa 21 Grace Kimanzi
kutok Kenya,Cherkemo Vicroy kutoka Kenya,Valentine Kipketer kutoka Kenya
Mshindi
katika mbio za kilomita 42.2 ni raia kutoka kenya Moses Mongick, wa
pili ni wilium Koskei kutoka kenya,na watatu ni Kepte Targus Kipkemoi
kutoka Kenya kwa upande wa wanawake mshindi wa kwanza ni Shemith
Nyamwira Muriuk kutoka Kenya,Teresia Amosa kutoka Kenya na Aveline
Atanja kutoka Kenya









No comments