KINANA AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA LEO
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha ofisini kwake, Balozi wa
Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, baada ya kufika Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo, leo
Feb 20, 2017.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimuonyesha sehemu ya kuketi, Balozi
wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, baada ya kufika Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya
mazungumzo, leo.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Balozi wa Uingereza hapa nchini
Sarah Cooke, wakifurahia jambo, baada ya kuketi kwa ajili ya kuanza
mazungumzo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar
es Salaam, leo. Feb 20, 2017.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati akizungumza na
Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, Ofisini kwake, katika
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
Feb 20, 2017.
Mazungumzo
yakiendelea. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,
Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga ambaye alihudhuria mazungngumzo hayo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Uingereza hapa
nchini Sarah Cooke, baada ya mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Feb 20, 2017. Katikati
ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali mstaafu Ngemela
Lubinga.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpugia mkono wa kwa heri, Balozi wa
Uingereza hapa nchini Sarah Cooke, wakati akiondoka katika Ofisi Ndogo
ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Feb 20, 2017.
Kulia ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali mstaafu
Ngemela Lubinga.
Katibu
wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali mstaafu Ngemela Lubinga
akimpokea Balozi wa Uingereza hapa nchini, Darah Cooke alipowasili kwa
ajili ya kukutana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana leo katika
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.
Katibu
wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali mstaafu Ngemela Lubinga
akiwa na Balozi wa Uingereza hapa nchini, Darah Cooke baada ya kumpokea
alipowasili kwa ajili ya kukutana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar
es Salaam.
Katibu
wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali mstaafu Ngemela Lubinga
akimpeleka Balozi wa Uingereza hapa nchini, Darah Cooke katika Ofisi ya
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili kwa ajili ya
kukutana na Katibu Mkuu huyo wa CCM, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.
BALOZI WA RWANDA NA WA KOREA KASKAZINI
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akizungumza na Balozi wa Korea
Kaskazini hapa nchini, Kim Yong Su, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, katikati ya wiki iliyopita.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akizungumza na Balozi wa Rwanda
hapa chini, Eugene Kayihura, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam, katikati ya wiki iliyopita.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akiagana na Balozi wa Rwanda
hapa chini, Eugene Kayihura, baada ya mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo
ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, katikati ya wiki
iliyopita.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO













No comments