Gigy Money Ampiga Chini Mo J.......Ahamishia Penzi Lake kwa Joti
U
heard ya CloudsFM Leo, chini ya mtangazaji Soudy Brown imeleta hii
habari inayowahusu Watangazaji wa ChoiceFM, Gigy Money na Mo J ambapo
inadaiwa wameachana baada ya Mo J kushtukia.
Inasemekana
Mo J ameshtukia mawasiliano ambayo mwenzake alikuwa akiyafanya na mtu
mwingine ambayo ikapelekea ugomvi hata mmoja kubeba nguo zake, sasa leo
Soudy Brown ameongea na wote wawili.
"Mbali
na mimi kuwa naye kwenye mahusiano yeye ana mambo yake anayafanya na
alikuwa anayafanya labda amejisikia kumpost Joti au ni mshikaji wake"
Amesema Mo J
"Nimeamua
tu kumpunguza instagram……..kwani Joti hafai kupendwa na Gigy Money na
ninakuambia pale sichomoki na nimefika dada yako, Mo J tushamwagana
kipindi kitaenda tu" Amesema Gigy Money

No comments