RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MSATA, KABUKU, HALE NA MUHEZA WAKATI AKIELEKEA TANGA MJINI LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mkata wakati alipokuwa njiani kuelekea mkoani Tanga kwa ajili ya ziara ya kikazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Mkata waliosimama pembeni ya barabara kuu ya Chalinze-Segera (hawaonekani pichani) mara baada ya kumaliza kuhutubia katika kijiji cha Mkata mkoani Tanga
Viongozi mbalimbali
wa mkoa wa Tanga akiwemo Wabunge na wakuu wa Wilaya wakipiga makofi wakati Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa
akihutubia Mkata mkoani Tanga.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
waliosimama pembeni ya barabara kuu ya Chalinze Segera katika eneo la Kwa mkonga wakati akiwa njiani
kuelekea Tanga.
![]() |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kabuku Handeni
mkoani Tanga.
|
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa
Kabuku Handeni mkoani Tanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Hale mkoani Tanga.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja ya wakazi
wa Hale mkoani Tanga mara baada ya kuhutubia katika eneo hilo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Hadija Juma mara baada ya kusoma ujumbe ulioandikwa kwenye sare aliyovaa mama huyo katika eneo la Hale mkoani Tanga.

Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi
wa Kabuku mara baada ya kumaliza kuwahutubia wakati akielekea mkoani Tanga. PICHA NA IKULU






No comments