Picha za matukio ya miaka 15 ya Saida Karol

Show ya miaka 15 ya muziki wa Saida Karoli ilifanyika katika ufukwe wa Escape One Mikocheni Dar es salaam, ambapo katika show hiyo ambayo Saida alikuwa anasherehekea kutimiza miaka 15 toka aingie katika muziki, alifanya show kwa awamu tatu tofauti huku mashabiki wakioneshwa kufurahia.



Msanii Soggy Dog na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete.





Kutoka kushoto ni msanii Shetta na kulia ni Steven Nyerere
Saida Karoli aliporudi kwenye stage kwa awamu ya tatu.




Hapa Saida alikuwa kwenye stage kwa awamu ya pili

No comments