RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA MRADI WA MAJI NGURUKA WILAYA YA UVINZA MKOANI KIGOMA
Rais
wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
mapema asubuhi ya leo tarehe 23 Julai 2017 akihutubia wananchi wa kijiji
cha LUCHUGI-UVINZA Mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Mkoani Tabora
Kuanza Ziara ya Kiserikali Mkoani Humo
Picha na IKULU

wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akimsikiliza mwenyekiti wa kijijji cha Uvinza Ndugu Nilisi Noa
Ntabai alipokuwa akieleza kero ya maji ya eneo hilo la uvinza ikiwemo
kusimama kwa kiwanda cha chumvi Uvinza ambacho kilikuwa tegemeo kwa
wananchi wa eneo hilo,ambapo Mhe,Rais amewaahidi wananchi hao kumtuma
Waziri wa Viwanda na Biashara kushughulikia tatizo hilo. Julai 23,2017.
Rais
wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
mapema asubuhi ya leo tarehe 23 Julai 2017 akihutubia wananchi wa kijiji
cha LUCHUGI-UVINZA Mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Mkoani Tabora
Kuanza Ziara ya Kiserikali Mkoani Humo
Rais
wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akikagua tanki la akiwa kuhifadhia maji toka mto Maragalasi
kabla ya kuweka jiwe la msingi la maradi huo utakao hudumia wananchi wa
Nguruka, Uvinza, mkoani Kigoma. Kulia ni Waziri wa Maji Mhandisi Gerson
Lwenge.
Rais
wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akiwa ameambatana na Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge
wakishuka ngazi mara baada ya Mh,Rais Kukagua Ujenzi wa Tanki la
Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka kabla ya kuhutubia
wananchi.
Rais
wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akipeana mkono na Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge mara
bada ya kuweka jiwe la msingi la maradi wa maji Nguruka.
Rais
wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akihutubia wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma,wakati wa
uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili
ya Wananchi wa Nguruka.
Rais
wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akihutubia wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma,wakati wa
uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwa
ajili ya Wananchi wa Nguruka.
Rais
wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akiwasalimia Mamia ya Wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma
mara baada ya kuhitimisha kuwahutubia wakati wa uwekaji wa jiwe la
Msingi la Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa
Nguruka. Picha na IKULU
No comments