WAZIRI MKUU MAJALIWA AANZA ZIARA YA MKOA WA MBEYA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara ya mkoa wa Mbeya Julai 28, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph
Mbilinyi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara
ya mkoa wa Mbeya julai 28, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Mbeya baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe kuanza ziara ya mkoa wa Mbeya
Julai 28, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa skafu na vija wa CCM, Green Guard bade
ya kuwasili kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela kuanza
ziara wilayani humo Julai 29, 2017. Kushoto kwake ni Naibu Spika wa
Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu na kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya,
Amos Makalla. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa umma wa wilaya ya
Kyela baada ya kupokea taarifa ya mkoa huo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa
Mbeya Amos Makalla (kushoto) kwenye ukumbi wa Halmashuri ya Wilaya ya
Kyela Julai 29, 2017. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson
Mwansasu.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya
watumishi wa umma wa wilaya ya Kyela wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakati alipozungumza naokwenye ukumbi wa Halmahauri ya wilaya
ya Kyela akiwa ktik ziara ya mkoa wa Mbeya julai 29, 2017. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments