MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI LAPF BW.ELIUDI SANGA ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA

Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF Bw. Eliudi Sanga
akimsikiliza Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa
Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe wakati alipotembelea katika banda
la Mfuko wa Pensheni wa LAPF kwenye viwanja vya maonyesho ya biashara
vya Mwalimu J.K. Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF Bw. Eliudi Sanga
akifurahia jambo na Varerian Mablanketi Mkurugenzi wa Huduma kwa
wanachama LAPF kulia katikati ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko
wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe na kushoto ni
mmoja wa wafanyakazi wa mfuko huo.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF Bw. Eliudi Sanga
akimsikiliza Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa
Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe wakati alipotembelea katika banda
hilo kutoka kulia ni Rehema Mkamba Afisa Mawasiliano Mwandamizi LAPF na
wa pili ni Varerian Mablanketi Mkrugenzi wa Huduma kwa wanachama LAPF.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF Bw. Eliudi Sanga,
Varerian Mablanketi Mkurugenzi wa Huduma kwa wanachama LAPF na Meneja
Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw.
James Mlowe wakijadiliana mambo kadhaa huku wakifuatilia huduma
mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wafanyakazi wa mfuko katika banda
hilo.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF Bw. Eliudi Sanga
akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea banda hilo.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF Bw. Eliudi Sanga
akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea banda hilo.
Baadhi ya wananchi waliofika katika banda hilo wakiendelea kupata huduma kutoka kwa wafanyakazi wa mfuko huo.
Baadhi ya wananchi waliofika katika banda hilo wakiendelea kupata huduma kutoka kwa wafanyakazi wa mfuko huo.

No comments