IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA MAGARI MANNE LEO JIJINI DAR
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro na Meneja Mkuu wa kampuni
ya utengenezaji magari ya Haval, Jianguo Liu wakikata utepe kuashiria
kukabidhiwa magari manne yaliyotolewa na kampuni hiyo ikiwa ni juhudi
zake katika kulisaidia Jeshi la Polisi kupambana na uhalifu nchini.
Hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa
Polisi,Oysterbay,jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro akisikiliza maelekezo ya
jinsi inavyotumika moja ya magari manne waliyokabidhiwa na Kampuni ya
utengenezaji magari ya Haval. Anayemuelekeza ni Meneja wa Kampuni ya
Kifaru, Mario Gaspari. Hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa
Mikutano wa Polisi, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro akikagua moja ya magari
manne waliyokabidhiwa na Kampuni ya utengenezaji magari ya Haval. Ambapo
aliishukuru kampuni hiyo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi katika
vita ya kupambana na uhalifu. Hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa
Mikutano wa Polisi,Oysterbay,jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro akizungumza wakati wa
Hafla ya makabidhiano magari manne yaliyotolewa na Kampuni ya
utengenezaji magari ya Haval, ambapo aliishukuru kampuni hiyo kwa
kushirikiana na Jeshi la Polisi katika vita ya kupambana na uhalifu.
Hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa
Polisi,Oysterbay,jijini Dar es Salaam.
Meneja
wa Kampuni ya utengenezaji magari ya Haval, Jianguo Liu, akizungumza
wakati wa Hafla ya makabidhiano magari manne yaliyotolewa na Kampuni
hiyo ambapo aliahidi kushirikiana na Jeshi la Polisi katika vita ya
kupambana na uhalifu nchini.Kushoto aliyesimama ni mkalimani wa lugha ya
kichina.Hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Polisi,
Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro akipita mbele ya magari
manne yaliyotolewa na Kampuni ya utengenezaji magari ya Haval, ambapo
aliishukuru kampuni hiyo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi katika vita
ya kupambana na uhalifu.Hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa
Mikutano wa Polisi, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro (wanne kulia), akiwa
katika picha ya pamoja na Meneja wa Kampuni ya utengenezaji magari ya
Haval, Jianguo Liu(watatu kushoto), baada ya makabidhiano ya magari
manne kutoka kwa kampuni hiyo ikiwa ni mchango wao katika kulisaidia
Jeshi la Polisi kupambana na uhalifu nchini.Wengine ni viongozi wa juu
wa jeshi na viongozi wa kampuni ya Haval.Hafla hiyo imefanyika leo
katika Ukumbi wa Mikutano wa Polisi,Oysterbay,jijini Dar es Salaam
.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments