Yaliojiri Mazishi ya Marehemu Abdallah Khelef Shauiri Mjaka (DULLA) Nchini Norway Jumamosi 27-2-2017 Katika Makaburi ya Kiislam Skonger.

Mtoto wa Marehemu Abdallah Khelef Shauri (Dullah) Sofia Abdallah Khelef akiwa na shada la maua akijiandaa kuweka katika kaburi la Baba yake akiongozwa na Mama yake mzazi, maziko hayo yamefanyika Nchini Norway jumamosi 27-2-2017 katika makaburi ya Kiislam Skonger na kuhudhuriwa na Watanzania wanaoishi norway na marafiki kutoka jirani na nchini hiyo waliweza kuhudhuria mazishi hayo yaliofanyika kwa taratibu zote za kisheria ya kiislam Mwenyenzi mungu ailaze pema peponi roho ya marememu ameen.
 Mtoto wa marehemu akiweka shada la maua katika kaburi la baba ake. 




No comments