WATU WENYE VIPARA WASHEREHEKEA SIKUKUU YAO
Zaidi
ya wanaume 30 wenye vipara kichwani nchini Japan wanaadhimisha siku kuu
yao ya kila mwaka inayoshirikisha mchezo wa kuvuta kamba.Klabu hiyo ya
wenye vipara inawajumuisha wananchama 65 kutoka maeneo tofauti nchini
tangu ibuniwe 1989.
Lengo ni kuwahamasisha watu zaidi kuhusu watu wenye vipara
''Nawataka wanaume wote walio na upara duniani kukongamana hapa ili kuanzisha michezo ya olimpiki'',alisema
No comments