RAIS DKT.MAGUFULI AFUNGUA MRADI WA MAJI SENGEREMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya mradi huo mkubwa wa maji kutoka kwa Mhandisi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Antony Sanga wakati alipoanza ukaguzi wa mradi huo kabla ya kuufungua.
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa Maji Eng. Gerson Lwenge wakati akielekea kukagua
mradi wa maji katika kijiji cha Nyamazugo Wilayani Sengerema. Mradi huo
unatarajiwa kuhudumia wakazi wa Sengereza kwa asilimia 100 tofauti na asilimia
33 ya awali.
|


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kabla ya kufungua mradi huo wa maji Wilayani Sengerema.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimongeza Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa Kada maarufu wa CHADEMA kanda ya Ziwa Hamis Tabasamu mara baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Nyamazugo, Sengerema mkoani Mwanza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa ameshikana mikono na waandishi wa habari mbalimbali wa mkoani Mwanza ambao walishiriki
katika kazi ya ufunguzi wa mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Nyamazugo,
Sengerema mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya amani ya Mkoa wa Mwanza Sheikh Hassan
Kabeke mara baada ya kufungua mradi huo wa maji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia wakazi wa Sengerema mjini wakati akielekea Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa Kada maarufu wa CHADEMA kanda ya
Ziwa Hamis Tabasamu wakati akihutubia wakazi wa Sengerema mara mara baada ya
kuzindua mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Nyamazugo, Sengerema mkoani
Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wanafunzi wa Sekondari mara baada ya kuhutubia wakazi wa Sengerema
vijijini wakati akielekea kuzindua mradi wa Maji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia wakazi wa Geita mara baada ya kuwasili mkoani humo. PICHA NA IKULU









No comments