Siku ya Sheria duniani ilivyoadhimishwa kisiwani Pemba
Jaji
kutoka Mahakama kuu Zanzibar, Rabia Husein Moh'd , akiangoza maandamano
ya Wanasheria katika maadhimisho ya siku ya sheria Zanzibar, yalioanzia
katika jengo la Mahakama hadi Kiwanja cha Tenis Chake Chake-Pemba.
Jaji
kutoka Mahakama kuu Zanzibar, Rabia Husein Moh'd , akiangoza maandamano
ya Wanasheria katika maadhimisho ya siku ya sheria Zanzibar, yalioanzia
katika jengo la Mahakama hadi Kiwanja cha Tenis Chake Chake-Pemba.
Jaji
kutoka Mahkama kuu Zanzibar, Rabia Hussein Moh'd , akizungumza neno
kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid
Abdalla, akizungumza na Wananchi na Wanasheria huko Kisiwani Pemba ,
wakati wa maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar.
Mkuu
wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza na Wadau
mbali mbali wa Sheria wakiwemo , Majaji, Mahakimu , Wanasheria na
wananchi mbali mbali katika maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar.
Jaji
Kutoka Mahakama kuu ya Zanzibar, Rabia Husein Moh'd, akikaguwa Paredi
rasmi, lililoandaliwa na kikosi cha Polisi Kisiwani Pemba, katika
maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar siku huko katika Jengo la
Mahakama Chake Chake -Pemba.
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Mahakama Chake Chake na Wananchi mbali mbali Kisiwani
Pemba, wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi ambae pia ni Mkuu wa Mkoa wa
Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla katika Maadhimisho ya siku ya
Sheria Zanzibar.
Picha na Habiba Zarali-Pemba.







No comments