DKT. SHEIN AFUNGUA SEMINA YA VIONGOZI MBALI MBALI KUHUSU TAKWIMU, ZANZIBAR LEO
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja
vya Ukumbi wa zamani wa baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja leo katika
semina ya Siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na matumizi yake.
Baadhi
ya washiriki wa Semina ya Siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na
matumizi yake akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipoifungua semina hiyo leo iliyofanyika
katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja.
Viongozi
wa serikali walioshiriki katika Semina ya Siku moja kuhusu Umuhimu wa
Takwimu na matumizi yake akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipoifungua semina hiyo leo
iliyofanyika katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi
Mmoja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipokuwa akifungua semina ya siku moja kuhusu Umuhimu wa
Takwimu na Utekelezaji wake kwa Viongozi mbali mbali katika Ukumbi wa
zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja leo,(kushoto) Makamo wa Rais
Balozi Seif Ali Iddi na katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu
Kiongozi Dkt.Abduhamid yahya Mzee (kulia).
Mtakwimu
Mkuu wa Serikali Bibi Mayasa Mahfoudh Mwinyi alipokuwa akitoa Muhtasari
wa Majukumu ya Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali katika Upatikanaji wa
Takwimu na Utekelezaji wake katika semina ya viongozi iliyofanyika leo
katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mjini Unguja.
Viongozi
wa serikali walioshiriki katika Semina ya Siku moja kuhusu Umuhimu wa
Takwimu na matumizi yake akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipoifungua semina hiyo leo
iliyofanyika katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi
Mmoja.
waziri
wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed
alipokuwa akitoa mchango wake katika semina ya siku moja kuhusu Umuhimu
wa Takwimu na Utekelezaji wake kwa Viongozi mbali mbali wa Serikali
iliyofanyika leo katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi
Mmoja. Picha na Ikulu, Zanzibar.

No comments