Mama Afichua Pacha wake Watano Australia 11 Mei 2016 .
Kim Tucci akiwa na wanae hao watano. Watoto Keith, Ali ,Penelope,Tiffany na Beatrix Bi Kim Tucci akiwa Mjamzito wa Mapacha wake wa...
Ladha ya Mafanikio ni Changamoto
Kim Tucci akiwa na wanae hao watano. Watoto Keith, Ali ,Penelope,Tiffany na Beatrix Bi Kim Tucci akiwa Mjamzito wa Mapacha wake wa...
Vikosi vya usalama nchini Kenya vinasema kuwa vimewakamata washukiwa 36 wa kundi la wanamgambo wa al-Shabab tangu mwezi Septemba mwaka ulio...
Huduma ya mabasi ya uchukuzi yanayoenda kwa kasi BRT nchini Tanzania imeanza rasmi siku ya jumanne katika jiji la kibiashara la Dar es Sal...
NA VERO IGNATUS ARUSHA. Jengo la Kitega uchumi la mfuko wa jamii (PPF)lililo zinduliwa. Rais wa Jamuhuri ya Muungan...
NA VERO IGNATUS LUSHOTO. Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema viongozi wa vyama vya upinzani nchini havihitaji mab...
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Handu Shaka (Pichani) NA VERO IGNATUS ...TANGA. Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi...
Watu wawili wanaodaiwa kuwa majambazi wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi mkoani Mwanza baada ya kurushiana risasi na askari wakati wa...
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mbeya Mjini, Saadati Mwambungu pamoja na wajumbe 19 wa kamati ya utendaji wa wilaya hiyo, wamevuliwa uon...
Rais John Magufuli ametunuku kamisheni kwa maafisa wapya mia tano na themanini na sita wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa tanzania kwa ch...
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto inasikitishwa na inalaani vikali tukio la kuuawa kwa kuchinjwa, mwanamke Oliv...
Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kimesikitishwa na habari zilizochapishwa na gazeti la RAI Toleo la 1249 la tarehe 5 – 11 Mei 2016 amba...
Jengo lililoko eneo la akiba posta jijini Dar es salaam limeripotiwa kuwaka moto kuanzia majira ya jioni na chanzo cha moto huo kinasemeka...
Waendesha bodaboda Manispaa Moshi Mkoa wa Kilimanjaro wameandamana kwa kuzunguka mji mzima wa Moshi kwa kile wanachodai kunyanyaswa na kuk...
Na Vero Ignatus Kilimanjaro. Chama cha Karate Mkoa wa Kilimanjaro kimefanya Tamasha la kuwapongeza wachezaji wa Mchezo huo waliofanya ...
Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo leo imetangaza kumfungia Snura kujihusisha na masuala ya sanaa. Pia imeufungia wimbo wake...
Bodi ya Filamu Tanzania imesitisha usambazaji wa filamu ya “Imebuma” mpaka pale maudhui yake yatakapofanyiwa marekebisho. Akisitisha usamb...
Upande wa Mashitaka katika kesi ya Josephat Gwajima, Askafu wa Mkuu wa Kanisa la Ufufuo umekataa kuendelea kupeleka mashahidi wake katika ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza. ...
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA)Imetoa mafunzo ya siku moja kwa wahariri na waandishi wa habari mkoani Arusha,Huku malengo ya mafunzo hayo ...
Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam inatarajia kuanza kusikiliza rufaa ya kupinga kufutwa shtaka la nane katika kesi inayomkabi...
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo ameagiza ifikapo leo, wakurugenzi wa halmashauri za mkoa huo, wawe wamewapa zawadi zao watumishi bo...
Mamlaka nchini Misri imeamuru kuwekwa kizuizini kwa waandishi wawili wa habari kwa wiki mbili, kwa shutuma za kuchochea maandamano. Wakos...
VERO IGNATUS KILIMANJARO . Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick amesema kuwa asilimia 90% ya wafanyakazi hewa Mkoani humu ni waa...
IDADI ya Watanzania wanaosubiri kunyongwa imekuwa ikiongezeka na hadi sasa imefikia 465 kutokana na hukumu ya kifo kutotekelezwa tangu mwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ametangaza kushusha kodi ya mapato ya Mshahara ( Pay as you Earn - PAYE ) ...
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango, amesema Serikali ya Awamu ya Nne iliyokuwa chini ya Rais Jakaya Kikwete haikukomba fedha kat...
Vukatz Initiatives (c) 2016 -2024 Vukatz All Right Reserved
Developed by Gadiola Emanuel