RAIS SAMIA AWASILI MKOANI ARUSHA KWA ZIARA YA SIKU MBILI*
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Machi Mosi, 2026 amewasili Mkoani Arusha kwa ziara ya siku mbili na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro KIA.
No comments