RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ATOA RISALA YA MWEZI MTUKUFU.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein akitoa risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi wa
Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla na kuwatakkia kheri katika mwezi
huo,pia amewataka kujitahidi kufanya ibada kwa wingi,ikiwemo kusima
Quran,kuswali sana hasa swala za Suna na kutoa zaka,[Picha na Ikulu.]
26/05/2017.
No comments