MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 38, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 31, 2017
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akisoma dua ya kuliombea
Bunge katika kikao cha 38 cha Mkutano wa
Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Naibu Waziri wa Nishati na
Madini Mhe.Dk.Medard Kalemani akiwasilisha Randama za Makadirio na Matumizi ya
Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018
katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31,
2017.
Naibu Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali
ya wabunge katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 31, 2017.
Waziri wa Maliasili na Utalii
Mhe.Prof Jumanne Maghembe akimskiliza Mbunge wa Mtama(CCM) Mhe.Nape Nnauye katika
kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo
ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Khamis Kigwangalla akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Waziri wa Kilimo, Mifugo na
Uvuvi Mhe.Dk Charles Tizeba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Ritta
Kabati akiuliza swali katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Mbunge wa Arumeru
Mashariki(CHADEMA) Mhe.Joshua Nassari akifurahi jambo na Mbunge wa
Momba(CHADEMA) Mhe.David Silinde katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Mbunge wa Viti
Maalum (CHADEMA) Mhe.Catherine Ruge akiuliza swali katika kikao cha 38 cha
Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Mbunge wa Iramba
Mashariki(CCM) Mhe.Allan Kiula akiuliza swali katika kikao cha 38 cha Mkutano
wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.










No comments