MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 35, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA MAY 26, 2017.
Waziri
wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charels Mwijage akiongozana na Waziri wa Maliasili
na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma
kuhudhulia kipindi cha Asubuhi cha kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 26,2017.
Mbunge
wa Mtwara Vijini (CCM) Mhe. Hawa Ghasia wakijadiliana jambo na Mbunge wa Momba (CHADEMA)
Mhe. David Silinde katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma wakati wakiingia katika ukumbi wa Bunge kuhudhulia kipindi cha Asubuhi cha kikao cha
35 Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 26, 2017.
Mwenyekiti
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Najma Giga akiongoza kikao cha
35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge kazi Ajira Vijana na watu
wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017
|
Naibu
Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Mbunge
wa Mpwapwa (CCM) George Lubeleje akiuliza swali katika kikao cha 35 cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Waziri
wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017
Mbunge wa
Kaliua (CUF) Mhe. Magdalena Sakaya akiuliza swali katika kikao cha 35 cha
Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo
na Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage katika kikao
cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakifurahia jambo na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Naibu waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anstazia Wambura(kulia)
pamoja na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi
Isack Kamwelwe(katikati) wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nishati na
Madini Mhe. Dkt Medred Kalemani wakati wakijadiliana jambo katika kikao cha 35 cha
Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Mbunge wa
Mbeya Mjini (CHADEMA) Mhe. Joseph Haule (Kulia) pamoja na Mbunge wa Mikumi Mhe.
Joseph Haule (wa pili kulia) na Mbunge wa Tunduma (CHADEMA) Mhe. Frank Mwakajoka
(aliyeipa kisogo kamera) wakimsikiliza Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji
Mhe. Charels Mwijage wakati wakijadiliana jambo katika kikao cha 35 cha Mkutano
wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Mbunge
wa Bunda Mjini (CHADEMA) Ester Bulaya akiuliza swali katika kikao cha 35 cha
Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo
na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Ritha Kabati katika kikao cha 35 cha Mkutano wa
Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Compassion English Medium kutoka mkoani Njombe wakiwa
Bungeni wakifuatilia shughuli za Bunge katika dhumuni la kujifunza mambo mbalimbali
yahusuyo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Picha Zote na Raymond Mushumbusi Dodoma MAELEZO, DODOMA
No comments