BREAKING NEWS: ARUSHA.
Waandishi waliokamatwa na jeshi la polisi Arusha kwa madai tulihudhuria kikao ambacho hakikua na kibali katika shule ya Luck vincent ambapo shirikisho la wamiliki wa shule binafsi walikuwa wanaendwa kutoa rambirambi waandishi hao walipewa taarifa taarifa kwenda kufanya kazi.
1 .Godfrey Thomas ayo tv
2.King Alphonce Saul Kusaga
3.Filbert Emmanuel mwananchi
4.Hussein Tuta Itv
5.Joseph NgilishoSunrise radio
6.Geofrey Stephen Radio 5
7.Janeth Mushi Mtanzania
8.Zephania Ubwani The Citizen
9.Elihuruma Yohani mwakilishi wa Tanzania Daima
10.Idd Uwesu Azam Tv
Hadi sasa kosa la kulamatwa kwa waandishali hao haijafahamika Mara moja.
Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi yale yatakayojiri.
No comments