RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA INSPEKTA JENERALI WA POLISI (IGP) SIMON SIRRO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Inspekta Jenerali wa
Polisi(IGP) Simon Sirro Ikulu jijini Dar es Salaam.


Inspekta Jenerali wa
Polisi(IGP) Simon Sirro akila kiapo cha uadilifu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha
vyeo vipya Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP) Simon Sirro kabla ya kumuapisha
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP)
Simon Sirro akisaini Hati ya Kiapo cha Uadilifu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Inspekta
Jenerali wa Polisi(IGP) Simon Sirro pamoja na IGP wa zamani Ernest Mangu Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi,
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Waziri wa Mambo ya Ndani ya
nchi Mwigulu Nchemba,IGP mpya Simon Sirro,
IGP wa zamani Ernest Mangu pamoja na viongozi mbalimbali wa Jeshi la
Polisi pamoja na Magereza.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na IGP wa zamani Ernest
Mangu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
viongozi mbalimbali wa Majeshi ya Polisi na Jeshi la Wananchi mara baada ya kumuapisha IGP Simon Sirro
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba mara baada ya tukio la uapisho wa IGP Ikulu
jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
*********************************************************************************
Hafla
hiyo imehudhuliwa na viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais, Samia
Suluhu, Waziri wa Mambo ya Ndani , Mwigulu Nchemba na makamishna
mbalimbali wa jeshi hilo.
Sirro baada ya kuapishwa amekula kiapo cha maadili mbele ya Rais Magufuli kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake mapya.









No comments