Kaburi la mtunzi wa wimbo wa taifa wa Uganda lafukuliwa

Kwa mujibu wa gazeti hilo, polisi wa eneo hilo na mjane wa marehemu wameomba kibali mahakamani kuweza kuchimbua kaburi hilo, ili kuweza kuthibitisha kama mabaki yake yapo ama yameondolewa.
Marehemu Kakoma alifariki dunia miaka mitano iliyopita.
No comments