Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Novemba, 2024 ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu huyo aliposhika nafasi hiyo mwezi Juni, 2024
Serikali: Mafuta Yanatosha Hadi Siku 91
-
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imeeleza kuwa hali ya upatikanaji wa
mafuta nchini bado ni shwari, huku bei zikiwa himilivu, ambapo mafuta
yaliyopo yana...
20 minutes ago
No comments