TBS: PIGA VITA BIDHAA HAFIFU
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Rashid Taka ambaye alimuwakilisha mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo katika mkutano wamajadiliano kuhusu uboreshwaji wa wa matakwa ya viwango uliofanyika katika Kituo cha mikutano cha kimataifa( AICC) Katika ukumbi wa Twiga.Picha na Vero Ignatus. Na. Vero Ignatus Arusha. Imebainika kuwa nchi ya Tanzania inakabiliwa na tatiazo kuwa la kuwa na bidhaa duni na zenye viwango hafifi,ambapo tatizo hialpo lianamadhara makubwa siyo kwa mlaji au watuamiaji bidhaa au huduma hizo bali pia lina athari kubwa sana katika ukuaji wa uchyumi wa nchi. |
A mesema kuwa upo umuhimu mkubwa wa wa wadau wa maswala la viwango klufanya kazi kwa ushirikiano ili kuthibiti uzalishaji wa uwepo wa bidhaa duni nchini,hivyo hatua ya kujadili na na kukubaliana miakakati ya pamoja katika eneo hilo litaleta mazingira mazuri ya kiutendaji yasiyokuwa namuingiliano aua mgongano wa kimaslahi ikiwepo pia kulinda mazingira hivyo kupata matumizi endelevu na kuiepusha jamii na atahari za kiafya zitokanazo na utumiaji wa bidhaa duni zisizo na viwango.
.
"Jambo hili linahitaji ushirikishwaji mpana wa wadau katika upigaji vita upambanaji na uzalishaji wa bidhaa hafifi,hii ni vita yetu sote na watanzania wote kwa ujumla inatakiwa hata mgeni akija nchini mwetu atambue ya kuwa sisi ni watu wa viwango"alisisistiza Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro.
Akizungumza na katika mkutano huo kaimu mkurugenzi wa Mamlaka ya kusimamia na kupima viwango vya ubora nchini (TBS) Dokta Egid Maofu amesemakuwa lengo la kuwa lengo la kuwa na mkutanohuo hapa nchini kuwaleta wadau wa utekelezaji wa matakwa ya viwango hapa nchini ili kujadili mambo ya muhimu yanayohusiana na viwango.
"Kufanya muendeklezo wa meza ya majadiliaano mkutano kama huu umefanyika katika mikoa mitatu ambayo ni ambayo ni pamoja na Dar-es salaam,Mtwara,Tanga na hivi tupo Arusha ka nia ileile ya hatuhitaji tena nchi yetu iwe na bidhaa duni ambazo mwisho wasiku hupelekea madhara na kuathiri afya zetu" alisisitiza Mabofu.
Kwa upande wake muwakilishi wa shirika la Umoja wa mataifa la mzaingira Clara Makenya (UNEP)amesema akuwa hawakubalianai na bidhaa zisizokuwana viwango ndiyomaana wao kwakushirikiana na (TBS) wameonelea kuwa na mkutano wa pamoja taasisi,na wadau wote wanaojihusisha na kusimamaia na kithibiti viangoviwango ilikupatasuluhi juu ya uzalishaji wa bidhaa zisizokuwa na viwango ambazo pia zina athiri mazingira kwa ujumla.
Aidha mkutano huo wa siku moja umewashirikisha wadau kutoka Mamlaka za usimamiaji wa viwango,Wizara mbalimbali,polisi,Taasisi za elimu na utafiti,Watumiaji wa huduma na bidhaa,Taasisi ya sekta binafsi nchini,Shirikisho la wafanyabiashara na Taasisi za ukuzaji biashara.
![]() | |||
| Meneja wa viwango( TBS) Mary Meela ambaye pia ni mratibu mradi akizungumza na wanahabari juu ya mradi huo ambao umefadhiliwa na Shirika la Mazingira la Umoja wa mataifa( UNEP)KWA KUSHIRIKIANA NA Mamlaka ya viwango Tanzania (TBS).Picha na Vero Ignatus. |
![]() | ||
| Muwakilishi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa( UNEP) Clara Makenya akifafanua jambo kwa wanahabari kuhusu uhafifu wa bidhaa na mazingira .Picha na Vero Ignatus. |
![]() |
| Wa kwanza kushoto ni mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Rashid Taka,aliyepo katikati ni mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro akifuatiwa na Meneja viwango (TBS) na Mratibu wa mradi huo Mary Meela wakibadilisha na mawazo .Picha na Vero Ignatus. |
![]() | |||||||
| Baadhi ya wadau wa mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa matakwa ya viwango uliofanyika katika Kituo cha mikutano cha kimataifa (AICC) wakiwa katika picha ya pamoja katika mkutano huo wa siku moja. Picha na Vero Ignatus. |





No comments