Ni kosa la jinai kuwa na nyaraka za siri - Kairuki
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora ANGELLA KAIRUKI amesema kuwa ni kosa la jinai kwa mfanyakazi yeyote
wa utumishi wa umma kuwa na nyaraka za siri za serikali.
Waziri KAIRUKI ameyasema hayo jana Jijini DSM wakati wa uzinduzi wa baraza
la wafanyakazi la Tume ya Utumishi wa Umma na kuongeza kuwa ni aibu kwa
serikali na Wafanyakazi wa utumishi wa umma kutotunza siri na kuacha sir

No comments