Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Cleopa David Msuya amefariki dunia Mei 7,2025 Dar.


Waziri Mkuu Mastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Cleopa David Msuya amefariki dunia hii leo Mei 7,2025  jijini Dar es Salaam. 

Taarifa za kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu Msuya zimetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No comments