WAZIRI DKT. MAHIGA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU WA ISRAEL, BENJAMIN NETANYAHU

 Wazi wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, akipeana mikono na Waziri Mkuu wa Israel, Mhe. Benjamin Netanyahu, mjini Tel-Aviv Mei 10, 2018. Vionbgozi hao walifanya mazungumzo yahusuyo ushirikiano baina ya nchi hizo mbili.
 Mazungumzo yakiendelea baina ya pande mbili
 Mhe. Netanyahu
Dkt. Mahiga na ujumbe wake, akiwa na balkzi wa Tanzania nchini Israel, Mhe.Mhe. Job Masima

No comments