Mvua yakatisha uhai wa Muuguzi Hospital ya St Elizabeth Arusha
Mvua iliyonyesha Alfajiri ya Leo imesababisha kifo cha muuguzi Mmoja Wa kike Wa hospital ya Wilaya ya St Elizabeth Aister Alodia Sylvester Mitaboro ambaye amesombwa na mafuriko wakati akielekea kazinikwake.
Kwa mujibu Wa mganga Mkuu Wa hospital hiyo Dkt Godson Kisanga amemtaja marehemu kuwa ni Alodia Silvesta anayekadiri wa kuwa na umri Wa miaka 60
Amesema muuguzi huyo amekumbwa na masahibu hayo umbali wa Mita mia moja kabla ya kufikahospitalini hapo majira ya SAA 15 Asubuhi katika ukuta wa kanisa la Lutheran uliopakana na hospital hiyo ya st Elizabeth.
'Marehemu alikuwa akivuka kidaraja kidogo ndipo alipoteleza na kusomba na maji ya mvua umbali Wa Mita
100 ambapo kikosi cha zima moto na wokozi waliweza kutoa mwili uliokuwa umekwama kwenyeKara Vatican edema Dkt Mlay
Mwili Wa marehemu umepelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospital ya rufaa ya Mount Meru Mkoa Wa Arusha

No comments