Mkusanyiko wa picha za kuvutia zaidi kutoka kwa harusi ya kifalme kati ya Mwanamfalme Harry na Meghan Markle.
Haki miliki ya picha REUTERS, Umati ulishangilia Mwanamfalme Harry, ambaye sasa atakuwa Mtawala wa Sussex, na mkewe Meghan, Mke wa Mtawala wa Sussex, walipopitia kwenye barabara za mji wakiwa kwenye kigari cha kuvutwa kwa farasi
Haki miliki ya picha EPA Inakadiriwa kwamba 100,000 walijitokeza barabara za Windsor
Haki miliki ya picha REUTERSImage Umati wa watu ulikusanyika kando ya barabara kutazama msafara wa harusi ukipita
Haki miliki ya picha PAMeghan na Mwanamfalme Harry wakiondoka kanisa la St George
Haki miliki ya picha PADoria Ragland, mamake bi harusi, Charles Mtawala wa Cornwall (babake Harry) na mkewe Camilla wakiondoka kanisani
Haki miliki ya pichaREUTERS Wakiondoka kanisani
Haki miliki ya pichaREUTERS Waliokuwemo walishangilia wawili hao walipokuwa wanapigana busu
Haki miliki ya pichaREUTERWawili hao wakipigana busu
Haki miliki ya pichaPAwawili hao wakiondoka kanisani baada ya kufunganishwa katika ndoa
Haki miliki ya pichaPAImage captionHarry na Meghan sasa watakuwa Mtawala na Mke wa Mtawala wa Sussex
Haki miliki ya pichaPAImage captionMalkia na mumewe, Mwanamfalme Phillip walihudhuria sherehe hiyo
Haki miliki ya pichaPA
Haki miliki ya pichaPAImage captionMwanamfalme Harry akimfunua Meghan
Haki miliki ya pichaPAImage captionKasisi Michael Curry, mkuu wa kanisa la Episcopal la Marekani ndiye aliyetoa mahubiri, ambapo aliangazia dhana ya upendo
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionMwanamfalme Harry na Meghan Markle
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionBi Markle alipokelewa na Mwanamfalme Charles (babake Harry) na kusindikizwa hadi kwenye madhabahu. babake, Thomas, anaugua1Haki miliki ya pichaPAImage captionBi Markle na wasichana na wavulana wasaidizi wa harusi wakiingia kanisani. Mwanamfalme George na Bintimfalme Charlotte walikuwa miongoni mwa wasimamizi wa harusi hiyo
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionMeghan Markle alifika Windsor Castle akiwa amevalia vazi la harusi lililokuwa limeshonwa na Mwingereza Claire Waight Keller
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionMeghan Markle aliondoka hotelini alimolala kuelekea Windsor Castle akiwa na mamake Doria
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionMke wa Mwanamfalme William, Kate, aliwasili na wasichana na wavulana waliosimamia harusi hiyo
Haki miliki ya pichaREX/SHUTTERSTOCKImage captionMwanamfalme Harry alionekana mtulivu akiwapungia mkono waliokuwa wamefia kufuatilia harusi hiyo, alipokuwa anaelekea kanisani na kakake
Haki miliki ya pichaREUTERS
Haki miliki ya pichaPAImage captionMwanamfalme Harry na Meghan Markle katika kanisa la St George kasri la Windsor Castle
Image captionBi Meghan Markle akiwasili Windsor Castle
Haki miliki ya pichaAFPImage captionMwanamfalme Harry na msimamizi wake kwenye harusi, kakake Mwanamfalme William
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionBi Markle akiondoka hoteli ya Cliveden House akiandamana na mamake Doria
Haki miliki ya pichaTOLGA AKMEN/AFPImage captionWatu wengi wamekusanyika Windsor kufuatilia harusi hiyo
Haki miliki ya pichaHANNAH MCKAY/REUTERSImage captionWatu hadi 100,000 wanatarajiwa kukaa kwenye barabara za mji huo kutazama msafara wa harusi
Haki miliki ya pichaHANNAH MCKAY/REUTERSImage captionWengi walifika kwa treni, magari na mabasi kutoka kila pembe na Uingereza na hata nje ya nchi hiyo
Haki miliki ya pichaDANIEL LEAL-OLIVAS/AFPImage captionWaliofika wakitembea kwenye barabara inayofahamika kama Long Walk kuelekea Windsor Castle.
Haki miliki ya pichaPETER SUMMERS/PAImage captionBaadhi walikesha karibu na Windsor usiku kuhakikisha wanapata nafasi bora zaidi ya kujionea msafara wa harusi
Haki miliki ya pichaPAImage captionWageni mashuhuri, wakiwemo Oprah Winfrey na Idris Elba, wamefika kwa sherehe hiyo St George's Chapel, Windsor Castle
Haki miliki ya pichaTOM NICHOLSON/EPAImage captionWatu wa kawaida 1,200 - wengi wao wafanya kazi wa kusaidia jamii - walialikwa kwa harusi hiyo
Haki miliki ya pichaDANNY LAWSON/PAImage captionKanisa la St George limepambwa kwa maua na matawi
Haki miliki ya pichaDANNY LAWSON/PAImage captionKanisa la St George ndani ambapo pia limepambwa kwa maua na matawi
Picha zote zina hakimiliki.
No comments