Uzinduzi wa ligi daraja la tatu (Corefa )wafanyika Pwanj
Mkurugenzi wa Kamati ya Mashindano ya (COREFA)Nancy Mtalemwa akisalimia na wachezaji wa Coast Star kutoka wilaya ya Bagamoyo kabla ya kucheza.Picha na Vero Ignatus Blog.
Na.Vero Ignatus Pwani
Hapo jana tar 14/1/2018 ulifanyika uzinduzi wa mashindano ya (corefa)ligi daraja la tatu sita bora mkoani Pwani ambapo anatafutwa bingwa wa mkoa ili akashirika mabingwa wa mkoa ambapo akipata nafasi anakwenda kucheza ligi daraja la pili
Mtanange huo wamepambanishwa Coast star ya Bagamoyo vs Chalinze United uliochezwa katika kiwanja cha Shule ya Msingi Lugoba ,hii ni mechi ya ufunguzi kati ya mechi 15 zinazotakiwa kuchezwa ili apatikane mshindi.
Katika uzinduzi mashindano hayo timu ya ya Coast Star ya Bagamoyo iliweza kuinyuka Chalinze United goli 1 ambalo likifungwa na Muhamad Gulam jezi nambari 14 mgongoni katika kipindi cha kwanza dakika ya 37,hadi mpira unamaliziaka Coast Star walikuwa wanaongoza kwa goli moja
Timu zinazoshinsanishwa ni pamoja na Majengo fc ya Bagamoyo,Nyika fc ya Kibaha,stend United ya Bagamoyo,Mdaula fc Cahalinze,ambapo mashindano hayo yalianza rasmi tarehe 2/12/218 yanatarajiwa kumalizika tar 5/2/2018
Camisaa Ambonisye Mwisho akimkaribisha Mkurugenzi wa Kamati ya mashindano ya COREFA Nancy Mtalemwa,aliyevaa miwani ni Makamu mwenyekiti wa COREFA na Mwenyekiti wa kamati ya Mashindano Shabani Kangale.Picha na Vero Ignatus Blog.
Camisaa Ambonisye Mwisho akimkaribisha Mkurugenzi wa Kamati ya mashindano ya COREFA Nancy Mtalemwa,aliyevaa miwani ni Makamu mwenyekiti wa COREFA na Mwenyekiti wa kamati ya Mashindano Shabani Kangale.Picha na Vero Ignatus Blog
Mkurugenzi wa Kamati ya mashindano ya COREFA Nancy Mtalemwa (wa kwanza kulia) akiteta jambo na Afisa michezo Halmashauri ya Chalinze Lidya Masema(wa kwanza kushoto) pamoja na Katibu wa marefa mkoa wa pwani Simon Mbelwa.Picha na Vero Ignatus Blog.
Mwenyekiti wa kamati ya Mashindano Shabani Kangale,Mkurugenzi wa Kamati ya mashindano ya COREFA Nancy Mtalemwa na Afisa michezo Halmashauri ya Chalinze Lidya Masema(wa kwanza kushoto.Picha na Vero Ignatus Blog
Timu ya Chalinze United(walio jezi za blue) Timu ya Coaster Star kutoka Bagamoyo (waliovaa jezi za njano )wakiwa tayari kwa mchezo .Picha na Vero Ignatus Blog

No comments