Rais Magufuli aenda kumjulia hali Kingunge Ngombale Mwiru

Rais  Magufuli akimjulia hali mzee Kingunge Ngombale Mwiru, katika wodi ya Mwaisela, Muhimbili. Mzee Kingunge amelazwa hospitalini hapo baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake


No comments