Naibu Waziri Wa Madini Mhe Biteko Autaka Uongozi Wa Chuo Cha Madini Dodoma Kujitathimini
Na.Vero Ignatus Pwani
Hapo jana tar 14/1/2018 ulifanyika uzinduzi wa mashindano ya (corefa)ligi daraja la tatu sita bora mkoani Pwani ambapo anatafutwa bingwa wa mkoa ili akashirika mabingwa wa mkoa ambapo akipata nafasi anakwenda kucheza ligi daraja la pili
Mtanange huo wamepambanishwa Coast star ya Bagamoyo vs Chalinze United uliochezwa katika kiwanja cha Shule ya Msingi Lugoba ,hii ni mechi ya ufunguzi kati ya mechi 15 zinazotakiwa kuchezwa ili apatikane mshindi.
Katika uzinduzi mashindano hayo timu ya ya Coast Star ya Bagamoyo iliweza kuinyuka Chalinze United goli 1 ambalo likifungwa na Muhamad Gulam jezi nambari 14 mgongoni katika kipindi cha kwanza dakika ya 37,hadi mpira unamaliziaka Coast Star walikuwa wanaongoza kwa goli moja
Timu zinazoshinsanishwa ni pamoja na Majengo fc ya Bagamoyo,Nyika fc ya Kibaha,stend United ya Bagamoyo,Mdaula fc Cahalinze,ambapo mashindano hayo yalianza rasmi tarehe 2/12/218 yanatarajiwa kumalizika tar 5/2/2018
No comments