Wachezaji wa Azam FC wajifua Dodoma wakiwa safarini Shinyanga
Wachezaji wa Azam Fc wakipata maelekezo kutoka kwa kocha wao katika Uwanja wa Central uliopo mkoani Dodoma Picha na Vero Ignatus Blog.





Wachezaji wa Azam Fc wakijifua katika uwanja wa Cental ulipo mkoani Dodoma hapo jana tayari kuwawinda Mwadui FC Shinyanga mwishoni mwa juma.Vero Ignatus Blog.
Basi lililowabeba wachezaji wa Azam likiondoka uwanjani .Picha na Vero Ignatus Blog.



No comments