Dkt.Magufuli afanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Oktoba 7, 2017 amefanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la Mawaziri, ambapo baadhi ya Mawaziri wamepoteza nafasi zao huku baadhi wakipanda na wengine wapya wakiteuliwa.
Wizara zimeongezeka kutoka Wizara 19 hadi 21, Mawaziri wameongezeka kutoka 19 hadi 21, Manaibu Waziri wameongezeka kutoka 16 hadi 21




No comments